Msimu Mpya wa usajili wa Watahiniwa wa kujitegemea (PC)

Uongozi wa shule ya St. Thomas High school, unapenda kuwatangazia wanafunzi wanaotegemea kufanya mtihani wa QT, na PC kwaamba usajili umefunguliwa na namba zinapatikana Shuleni, hivyo njoo mapema ujiandikishe kwa gharama nafuu sana.

Aidha tunapenda kuutaarifu Umma kuwa tumeanzisha program maalumu ya kurudia mitihani ya kidato cha nne ukiwa unaendelea na kidato cha tano kwa yeyote mwenye Credit moja na kuendelea.

Shule ipo gongolamboto mwisho, karibu na kituo cha Tax cha Gongolamboto.

New Application Form I 2020

Welcome to Thomas Secondary . Please Download the Application form for form I Student 2020